Sign in with Twitter Sign in with Facebook

Type the topic in any language to check out real time results of Who's Talking on Social Media Sites

Trending Topics: SoykırımVar AyağaKalkÜmmetChika AmalahaバントヒットHayat SeninleGüzel FENERBAHÇEM#BAMNews告白する日#SendeBuBayramBirHuzurEviniZiyaretETAliSamiYen SonsuzaKadarKalbimizde#TuesdayMorningQnA#FrioCombinaComSarıLaciAileyiz FenerbahçeEvimiz#おかされたいと打って犯されたいとでたら欲求不満#MudaAlgumaCoisaDilmaA Entidade#Vote5HVMA#BuyBangBangOnITunes#ZaynDontBeAfraidGazzedeSoykırım Yapılıyor#direnkahkaha#ÇağlayandaZulümVar#GelecektenİsteğimLOVEフラゲ#EvetUyumuyorumÇünküOne Direction #BestFandom2014 DirectionersJustin Bieber #BestFandom2014 Beliebers#添い寝からの予測変換から文を作れ嬉しい?Moeen Aliありがとう?Acacia#JanoskiansNewSingle#askacaciaGreg Rutherfordドリボ当落うなぎの日丑の日だAndy TurnerBang Bang#SomethingIGetAlotAnything GoesFaceTime#DogMoviesRichard DawkinsGeorge LopezCali#InsomniaSoykırımVar AyağaKalkÜmmet#ComoLidarComEssaGenteQue#stopmexicangirls2014Jeremy KyleStill Up#asknicksomething650万起業後押し#SeviyorumSeniKelAdam#KeşkeUyuyunca丑の日に食べる#CagdasDundar#さ行に結婚相手がいる#BuGeceYineWho Is The Next BachelorMockingjay TrailerSabina AltynbekovaHercules movieComic Con 2014EbolaDan BilzerianGal GadotNational Tequila Daybachelorette50 Shades of GreyMad MaxJeff GordonBurkina FasoLucyEid MubarakAndrej PejicZac EfronNicki MinajRay RiceMore

Most recent 16 results returned for keyword: kisha (Search this on MAP)
Go to the bottom to see more.

Pamela Armstrong
Pamela Armstrong : Kisha's photo    
8 minutes ago - View -
Tonya D. Roberts
Tonya D. Roberts : Another night like this, Kisha Garner....and I will be going Miami with you! Don't sleep on me I may jump on that plane! Gm and Gn...we are tired and ready to go. Started that stuff again chick! Eww, just common.
15 minutes ago - View -
Micah Lapatha
Micah Lapatha : *Kisha nagdula ug isa ka app*
Ako: Unsa na?
Lorna: Geometry Dash
Ako: A Math game?
Lorna: Not really a Math game, more on strategy, testing the dexterity of your fingers.
Ako: You mean Gupana?

Okay, sa maka-gets. Let's just pretend that it was a funny joke.

16 minutes ago - View -
Rick Kikota
Rick Kikota : Timeline Photos     Binti mmoja aitwaye salome alifanikiwa kukusanya fedha kwa miaka minne tangu alipoajiriwa na kufanikiwa kununua gari.
Akaliendesha mpaka kijijini kwao na familia yake ilifurahi sana na kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya mtoto wao.
Ndugu wengi wakaonyesha kufurahi pia na kufurahia kwa pamoja mpaka muda ulipofika salome akaanza safari kurudi mjini.
Akiwa njiani kuelekea mjini kwa mbali akaona barabarani kuna nyoka na sungura wa ajabu.
Akasimamisha gari akafunga kwa haraka na kuichukua biblia yake na kusoma Zab 23: 3-4 ambayo inasomeka,
“Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanifariji”
Na kusali sala fupi kama ifuatavyo, "Bwana Yesu asante kwa maana wewe umekuwa ngome yangu na msaada wangu kila nikuitapo.
Wewe umesema utakuwa pamoja nami nipitapo katika bonde la uvuli wa mauti. Wewe uliyehuisha nafsi yangu naomba usiniache baba, siku zote za maisha yangu nikutumaini wewe. Katika jina la Yesu naomba unifikishe nyumbani salama," Amen.
Baada ya sala hii akawasha gari na sauti ikamjia masikioni wakanyage hao na endelea na safari. Salome akafanya hivyo na kwenda mpaka nyumbani.
Muda mfupi baada ya kufika nyumbani akapigwa simu na mama yake kuwa baba yake mdogo na mke mdogo walikuwa wamepakiana kwenye bodaboda na kitu cha ajabu kikawapiga na wamekufa hapo hapo.
SALA yangu kwako. "Mungu anatuambia atatuongoza kwenye haki pale tunapoelekea pasipo. Atatukinga na mabaya kwa kutumia gongo lake na fimbo yake, hakuna lolote litakaloweza kupingana, hivyo ninaomba Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza katika mafanikio huku setani akikosa nafasi.
COmment AMEN na kisha share sala hii kama unaamini...kama ujalike page hii like sasa upate habari #kantangaze..     Do not ignore these things do happened!

16 minutes ago - View -
Godfrey Paulo
Godfrey Paulo : Askofu Fihavango    
24 minutes ago - View -
Carol Banda
Carol Banda : And the nominees for the best poker of all times are Fourty TheGodfather. Gidraph Nyangulu. Bridget Kisha Richards. To get the award keep poking as many times as you can. Lol
31 minutes ago - View -
Kisha Johnso
Kisha Johnso : First 3 Lucky Clickers Win 500 Coins    
33 minutes ago - View -
Shirley Walsh
Shirley Walsh : Kisha Hadley are u on the 21 day programme next week?
34 minutes ago - View -
Sulle C Sulle
Sulle C Sulle : Timeline Photos     Binti mmoja aitwaye salome alifanikiwa kukusanya fedha kwa miaka minne tangu alipoajiriwa na kufanikiwa kununua gari.
Akaliendesha mpaka kijijini kwao na familia yake ilifurahi sana na kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya mtoto wao.
Ndugu wengi wakaonyesha kufurahi pia na kufurahia kwa pamoja mpaka muda ulipofika salome akaanza safari kurudi mjini.
Akiwa njiani kuelekea mjini kwa mbali akaona barabarani kuna nyoka na sungura wa ajabu.
Akasimamisha gari akafunga kwa haraka na kuichukua biblia yake na kusoma Zab 23: 3-4 ambayo inasomeka,
“Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanifariji”
Na kusali sala fupi kama ifuatavyo, "Bwana Yesu asante kwa maana wewe umekuwa ngome yangu na msaada wangu kila nikuitapo.
Wewe umesema utakuwa pamoja nami nipitapo katika bonde la uvuli wa mauti. Wewe uliyehuisha nafsi yangu naomba usiniache baba, siku zote za maisha yangu nikutumaini wewe. Katika jina la Yesu naomba unifikishe nyumbani salama," Amen.
Baada ya sala hii akawasha gari na sauti ikamjia masikioni wakanyage hao na endelea na safari. Salome akafanya hivyo na kwenda mpaka nyumbani.
Muda mfupi baada ya kufika nyumbani akapigwa simu na mama yake kuwa baba yake mdogo na mke mdogo walikuwa wamepakiana kwenye bodaboda na kitu cha ajabu kikawapiga na wamekufa hapo hapo.
SALA yangu kwako. "Mungu anatuambia atatuongoza kwenye haki pale tunapoelekea pasipo. Atatukinga na mabaya kwa kutumia gongo lake na fimbo yake, hakuna lolote litakaloweza kupingana, hivyo ninaomba Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza katika mafanikio huku setani akikosa nafasi.
COmment AMEN na kisha share sala hii kama unaamini...kama ujalike page hii like sasa upate habari #kantangaze..     No one like God

34 minutes ago - View -
Kisha LaDina Kendall
Kisha LaDina Kendall : Kisha is natural born social player!    
41 minutes ago - View -
Richard Wright
Richard Wright : Stevan Ridley in running for new deal | Boston Herald     Kisha Squeeks Royster
55 minutes ago - View -
Pio Mrosso
Pio Mrosso : Timeline Photos     Kuna kitu fulani hivi ndani ya timu ya wananchi ambacho ni nadra sana kukipata katika vilabu vingine vya soka hapa nchini.

1. Mashabiki , wapenzi na wanachama wa Yanga wameifanya klabu yao ni sehemu ya maisha yao, sehemu ya furaha yao. Hiki kitu ndicho kinachowavutia wachezaji wengi kutaka kucheza timu ambayo akigusa mpira atasikia mvumo wa sauti wa mashabiki halisi wakimshangilia toka moyoni.

2. Mchezaji anaekuja kuchezea Yanga ni rahisi sana kutengeneza jina lake kuliko klabu yoyote ile hiyo inatokana na moyo wa mashabiki wa Yanga kuwa wepesi kukubali kazi ya mtu hata kwa mechi moja tu. Hamis Tambwe kwa kazi aliyoifanya Simba mpaka sasa angelikuwa Yanga yangekuwa mambo mengine ukibisha kamuulize Boniface Ambani.

3. Yanga imejaaliwa mashabiki ambao wana uwezo wa kuitetea timu yao kwa jambo lolote lile ambalo limeibuka kuichafua timu hata kama viongozi wapo kimya.

4.Lakini klabu nyingine mfano ile inayovaa jezi nyekundu ukiwazingua wanaweza kuwa sehemu ya kuigawa timu.

5. Kingine ndio timu pekee inayo amini hakuna kushindwa hali hiyo huwapa matumaini mazito wachezaji wawapo uwanjani. Maana wapenzi wa Yanga wana amini Yanga imetengenezwa kuleta furaha sio huzuni.

KAMA UNAKUBALI MWANA YANGA GONGA LIKE KISHA SHARE KWA WENGINE WAJUE RAHA YA KLABU HII     completly status.

56 minutes ago - View -
Ortsen Thomasy
Ortsen Thomasy : Timeline Photos     Binti mmoja aitwaye salome alifanikiwa kukusanya fedha kwa miaka minne tangu alipoajiriwa na kufanikiwa kununua gari.
Akaliendesha mpaka kijijini kwao na familia yake ilifurahi sana na kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya mtoto wao.
Ndugu wengi wakaonyesha kufurahi pia na kufurahia kwa pamoja mpaka muda ulipofika salome akaanza safari kurudi mjini.
Akiwa njiani kuelekea mjini kwa mbali akaona barabarani kuna nyoka na sungura wa ajabu.
Akasimamisha gari akafunga kwa haraka na kuichukua biblia yake na kusoma Zab 23: 3-4 ambayo inasomeka,
“Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanifariji”
Na kusali sala fupi kama ifuatavyo, "Bwana Yesu asante kwa maana wewe umekuwa ngome yangu na msaada wangu kila nikuitapo.
Wewe umesema utakuwa pamoja nami nipitapo katika bonde la uvuli wa mauti. Wewe uliyehuisha nafsi yangu naomba usiniache baba, siku zote za maisha yangu nikutumaini wewe. Katika jina la Yesu naomba unifikishe nyumbani salama," Amen.
Baada ya sala hii akawasha gari na sauti ikamjia masikioni wakanyage hao na endelea na safari. Salome akafanya hivyo na kwenda mpaka nyumbani.
Muda mfupi baada ya kufika nyumbani akapigwa simu na mama yake kuwa baba yake mdogo na mke mdogo walikuwa wamepakiana kwenye bodaboda na kitu cha ajabu kikawapiga na wamekufa hapo hapo.
SALA yangu kwako. "Mungu anatuambia atatuongoza kwenye haki pale tunapoelekea pasipo. Atatukinga na mabaya kwa kutumia gongo lake na fimbo yake, hakuna lolote litakaloweza kupingana, hivyo ninaomba Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza katika mafanikio huku setani akikosa nafasi.
COmment AMEN na kisha share sala hii kama unaamini     Yah is true.

1 hour ago - View -
Kisha Thomas
Kisha Thomas : Timeline Photos     Do you believe it is important for us to pray? Type YES or NO.

http://www.edrugsearch.com/     Kisha Thomas

1 hour ago - View -
Rocki Patrice
Rocki Patrice : Happy birthday to my big sissy Kisha Jones-Pate I pray god grace you to see more and preserve your youth to do a work for him and grant you long life!!! Love u chick!!!!
1 hour ago - View -
James Sofa
James Sofa : Timeline Photos     Kuna kitu fulani hivi ndani ya timu ya wananchi ambacho ni nadra sana kukipata katika vilabu vingine vya soka hapa nchini.

1. Mashabiki , wapenzi na wanachama wa Yanga wameifanya klabu yao ni sehemu ya maisha yao, sehemu ya furaha yao. Hiki kitu ndicho kinachowavutia wachezaji wengi kutaka kucheza timu ambayo akigusa mpira atasikia mvumo wa sauti wa mashabiki halisi wakimshangilia toka moyoni.

2. Mchezaji anaekuja kuchezea Yanga ni rahisi sana kutengeneza jina lake kuliko klabu yoyote ile hiyo inatokana na moyo wa mashabiki wa Yanga kuwa wepesi kukubali kazi ya mtu hata kwa mechi moja tu. Hamis Tambwe kwa kazi aliyoifanya Simba mpaka sasa angelikuwa Yanga yangekuwa mambo mengine ukibisha kamuulize Boniface Ambani.

3. Yanga imejaaliwa mashabiki ambao wana uwezo wa kuitetea timu yao kwa jambo lolote lile ambalo limeibuka kuichafua timu hata kama viongozi wapo kimya.

4.Lakini klabu nyingine mfano ile inayovaa jezi nyekundu ukiwazingua wanaweza kuwa sehemu ya kuigawa timu.

5. Kingine ndio timu pekee inayo amini hakuna kushindwa hali hiyo huwapa matumaini mazito wachezaji wawapo uwanjani. Maana wapenzi wa Yanga wana amini Yanga imetengenezwa kuleta furaha sio huzuni.

KAMA UNAKUBALI MWANA YANGA GONGA LIKE KISHA SHARE KWA WENGINE WAJUE RAHA YA KLABU HII     thats true!!

1 hour ago - View -